Basi la abiria kampuni ya Climax limehusika katika ajali asubuhi ya leo Mei 2,2023 Migori,Kenya . Basi hilo la Climax Coaches lililo na maandishi ’THE DEVIL AWAY’ linalofanya safari …
Ndege mbili ziligongana karibu na uwanja wa ndege kaskazini mashariki mwa Uhispania siku ya Jumapili, na kuua abiria wanne. Wazima moto walipata ndege moja ikiwaka moto katika eneo la …
Mamlaka ya Kitaifa ya Barabara Kuu ya Kenya, KeNHA, ilifunga barabara Kuu ya Mai Mahiu-Narok Jumapili 30 Aprili,2023. Kufungwa huko kulitokana na ufa mkubwa uliotokea Kilomita sita kutoka Mji wa …
Takriban watu 11 wamefariki kufuatia kuvuja kwa gesi kaskazini mwa India, katika mji wa bandari wa Ludhiana katika jimbo la Punjab. Wafanyakazi wa dharura wanajaribu kubaini chanzo cha uvujaji …
Mvulana mwenye umri wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani Rombo,nchini Tanzania anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe …
Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali leo April 25, 2023. Watatu hao wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah kwenda kwenye shughuli ya …
Mahakama ya Kajiado imeamuru kuzuiliwa kwa mwanamke anayekabiliwa na shtaka la mauaji baada ya kudaiwa kumuua bintiye wa miaka miwili kwa kumkata vipande vipande kwa kisu na kisha kula …
Polisi wanawasaka washukiwa wawili, mwanamume na mwanamke, wanaoaminika kumuua mwajiri wao Mhindi mwenye umri wa miaka 75 katika Mji wa Kisumu nchini Kenya. Katika tukio hilo, wawili hao wanatuhumiwa …
Takriban wanafunzi sita wanahofiwa kufariki kufuatia ajali mbaya iliyohusisha gari la usafiri la Umma (PSV) na lori karibu na shamba la Delamare kando ya Barabara Kuu ya Nairobi-Nakuru mnamo …
Mwanamume mmoja anayedaiwa kuwa muuza bangi katika kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya alijisalimisha akiwa na barua aliyoandika kukiri kujihusisha katika biashara haramu na kuomba msamaha kwa asasi za kiusalama. Picha …