Category: Tanzania
Mvulana mwenye umri wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani Rombo,nchini Tanzania anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe …
Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali leo April 25, 2023. Watatu hao wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah kwenda kwenye shughuli ya …
Watu 17 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi Februari 4, 2023 wilayani Korogwe mkoani Tanga nchini Tanzania. Katika taarifa …
Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi katika eneo la Kaloleni wilayani Songwe nchini Tanzania kwa kumuua mwanamke,kuukata kata mwili wake na kuuchoma moto kisha kuula kama mshikaki. Kwa mujibu …
Watoto tisa wa familia moja waungua moto kwenye nyumba walimokuwa wamelala, Musoma mjini nchini Tanzania. Moto huo ulizuka usiku wa kuamkia Novemba 5, 2022 na kuunguza watoto hao tisa …