Category: Kenya
Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya ajali mbaya kutokea kwenye makutano ya Pala-Homa Hills kwenye barabara kuu ya Kendu-Homa Bay mnamo Ijumaa, Mei 5. Basi la shule liliripotiwa kubingiria …
Mwili wa mwanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara mwenye umri wa miaka 20 umegunduliwa ukiwa kwenye kichaka mita chache kutoka katika taasisi hiyo iliyoko Narok. Kulingana na …
Basi la abiria kampuni ya Climax limehusika katika ajali asubuhi ya leo Mei 2,2023 Migori,Kenya . Basi hilo la Climax Coaches lililo na maandishi ’THE DEVIL AWAY’ linalofanya safari …
Mamlaka ya Kitaifa ya Barabara Kuu ya Kenya, KeNHA, ilifunga barabara Kuu ya Mai Mahiu-Narok Jumapili 30 Aprili,2023. Kufungwa huko kulitokana na ufa mkubwa uliotokea Kilomita sita kutoka Mji wa …
Mahakama ya Kajiado imeamuru kuzuiliwa kwa mwanamke anayekabiliwa na shtaka la mauaji baada ya kudaiwa kumuua bintiye wa miaka miwili kwa kumkata vipande vipande kwa kisu na kisha kula …