Category: Entertainment News
Msanii mkongwe wa miziki aina ya Rhumba kutoka taifa la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Tshala Muana ameaga dunia. Taarifa hizo za tanzia kutoka taifa hilo zilisambazwa kote …
Kenya ni kitovu cha vipaji, jambo ambalo halina mjadala. Mamilioni ya vijana wa Kenya wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali kuanzia muziki, kandanda, uigizaji, na kucheza dansi, riadha, miongoni …
Tuzo za E360 za awamu ya 4 za mwaka 2022 zinatarajiwa kufanyika hivi karibuni ambapo bado watu mbalimbali wanaruhusiwa kuendelea kutuma mawasilisho ya kuteuliwa. Uongozi wa tuzo hizi umetangaza …
Mwanamume wa Brazili amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuweza kuchomoza macho mbali zaidi. Sidney de Carvalho Mesquita, anayejulikana pia kama Tio Chic, alipata nafasi katika kitabu maarufu …
Afrika Wakawaka ni wimbo unaolizungumzia Bara la Afrika kwa jinsi lilivyobarikiwa kwa vivutio vingi, watu wenye upendo,jinsi tunavyouenzi utamadini wetu, ngoma zetu za asili, mavazi yetu ya asili na …