WhatsApp Yatambulisha Vipengele 6 Vipya

Watumiaji wa WhatsApp watafurahia vipengele sita vipya baada ya Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa Facebook, Mark Zuckerberg, kutangaza mabadiliko hayo mapya Alhamisi, Novemba 3. Vipengele vilivyokusudiwa kuboresha ubora wa …