Category: Business
Watumiaji wa WhatsApp watafurahia vipengele sita vipya baada ya Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa Facebook, Mark Zuckerberg, kutangaza mabadiliko hayo mapya Alhamisi, Novemba 3. Vipengele vilivyokusudiwa kuboresha ubora wa …
Mamilioni ya Watumiaji wa Mtandao wa Whatsapp duniani wamekwama kuitumia huduma hiyo ya kutuma na kupokea meseji kutokana na hitilafu iliyotokea asubuhi ya leo. Chanzo cha hitilafu hii hakijatajwa …
Uvumi wa mtandaoni ulivuma kote nchini Kenya na Zimbabwe kwamba watu waliokata tamaa walikuwa wakiuza vidole vyao vya miguu ili kupata pesa. Ripoti hiyo ilienea sana hivi kwamba Naibu …
Lebo ya kifahari ya Gucci na kampuni ya mavazi ya michezo ya Adidas AG imetangaza kutngeneza na kuuza mwavuli wenye thamani ya Ksh 191767.50 ($1,644) ambao hauwezi kuzuia maji. Chapa hizo, hata …