Mwanamke wa Nigeria aweka rekodi mpya ya rekodi ya dunia ya Guinness kwa wigi refu zaidi

Mwanamke wa Nigeria ameweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutengeneza wigi refu zaidi kutengenezwa kwa mkono. Helen Williams alitengeneza wigi lenye urefu wa hadi mita 351.28 (1,152ft 5”). …