Baba amnyonga mwanawe kwa kamba za viatu na kupiga selfie na maiti yake

Wakazi wa Iringa nchini Tanzania wamepigwa na butwaa baada ya mwanamume mmoja aliyetambulika kwa jina Goodluck Mgovano mwenye umri wa miaka 33 kudaiwa kumuua mwanawe kwa kamba za viatu …