Baadhi ya rekodi ajabu za dunia za Guinness kuwahi kushikiliwa.

Kumekuwa na rekodi nyingi za dunia za Guinness tangu zamani lakini hivi majuzi watu tofauti wamekuwa wakijaribu kuweka rekodi mpya za aina yake. Baada ya Hilda Effiong Bassey, anayejulikana …