Month: May 2023
Tamasha la kuendesha baiskeli uchi, mwaka Huu litafanyika Agosti 26. Tamasha hilo la kuendesha baiskeli uchi la Philly katika jimbo la Philadelphia la Marekani utafanyika Agosti 26. Waandalizi wa …
Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya ajali mbaya kutokea kwenye makutano ya Pala-Homa Hills kwenye barabara kuu ya Kendu-Homa Bay mnamo Ijumaa, Mei 5. Basi la shule liliripotiwa kubingiria …
Mwili wa mwanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara mwenye umri wa miaka 20 umegunduliwa ukiwa kwenye kichaka mita chache kutoka katika taasisi hiyo iliyoko Narok. Kulingana na …
Basi la abiria kampuni ya Climax limehusika katika ajali asubuhi ya leo Mei 2,2023 Migori,Kenya . Basi hilo la Climax Coaches lililo na maandishi ’THE DEVIL AWAY’ linalofanya safari …