Month: April 2023
Ndege mbili ziligongana karibu na uwanja wa ndege kaskazini mashariki mwa Uhispania siku ya Jumapili, na kuua abiria wanne. Wazima moto walipata ndege moja ikiwaka moto katika eneo la …
Mamlaka ya Kitaifa ya Barabara Kuu ya Kenya, KeNHA, ilifunga barabara Kuu ya Mai Mahiu-Narok Jumapili 30 Aprili,2023. Kufungwa huko kulitokana na ufa mkubwa uliotokea Kilomita sita kutoka Mji wa …
Takriban watu 11 wamefariki kufuatia kuvuja kwa gesi kaskazini mwa India, katika mji wa bandari wa Ludhiana katika jimbo la Punjab. Wafanyakazi wa dharura wanajaribu kubaini chanzo cha uvujaji …
Mvulana mwenye umri wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani Rombo,nchini Tanzania anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe …
Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali leo April 25, 2023. Watatu hao wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah kwenda kwenye shughuli ya …