Month: March 2023
Wachezaji wawili wa kandanda waliuawa baada ya kupigwa na radi wakati wa mechi ya kirafiki eneo la Manyansi, eneo bunge la Kitutu Chache Kaskazini, Kaunti ya Kisii. Timu zinazoshindana-Manyansi …
Mzee wa miaka 60 huko Mwea, Kaunti ya Kirinyaga, nchini Kenya amejitoa uhai baada ya kudaiwa kugundua mkewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine wa miaka 24. …
Mbunge wa kwanza mwanamke nchini Kenya baada ya uhuru Mbunge Grace Onyango alifariki Jumatano, Machi 8. Binti yake Pauline Akwacha alithibitisha kuwa marehemu Mama Onyango alifariki akiwa na umri …
Mwalimu wa kike aliyewanyonga watoto wake wanne huko Naivasha Kenya miaka miwili iliyopita amehukumiwa na Mahakama Kuu kifungo cha maisha jela . Beatrice Mwende, ambaye alikuwa mwalimu wa Hisabati, alikuwa ameshtakiwa …