Month: February 2023
Afisa wa polisi wa trafiki mjini Mombasa ameaga dunia baada ya dereva aliyejaribu kukwepa kituo cha trafiki kumkanyaga Kwa gari. Kulingana na ripoti ya polisi mnamo Jumanne, Julius …
Afisa wa polisi alikamatwa Jumapili dakika chache baada ya kumpiga risasi na kumuua mwenzake katika maeneo ya Awendo, kwenye kaunti ya Migori. Inadaiwa alimuua anayefanya kazi nae katika eneo la kuhifadhia …
Watu 17 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi Februari 4, 2023 wilayani Korogwe mkoani Tanga nchini Tanzania. Katika taarifa …