Month: December 2022
Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI (95) amefariki dunia leo Jumamosi Desemba 31,2022 majira ya saa tatu na dakika 34 asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Facebook …
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu mnamo Jumatano, Desemba 21, alitoa matokeo ya Mtihani wa darasa la nane 2022 (KCPE). Akizungumza katika ukumbi wa Mtihani House, Machogu alitangaza kuwa zaidi ya wanafunzi …
Waziri wa elimu nchini Kenya,Ezekiel Machogu ameweka wazi kuwa matokeo ya mitihani ya darasa la nane KCPE iliyokamilika mwanzoni mwa mwezi wa Desemba yatatangazwa wiki kesho. Machogu alisema kuwa wizara …
Mwanamume mmoja raia wa Libya anayetuhumiwa kutengeneza bomu lililoharibu ndege ya Shirika la Pan Am Disemba 21, 1988, amekamatwa nchini Marekani. Ndege hiyo, Boeing 747, ilikuwa ikielekea New York kutoka London ililipuka ikiwa angani …
Msanii mkongwe wa miziki aina ya Rhumba kutoka taifa la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Tshala Muana ameaga dunia. Taarifa hizo za tanzia kutoka taifa hilo zilisambazwa kote …