Mawasilisho (Submissions) ya Tuzo za E360 za Awamu ya 4 za Mwaka 2022 Kuendelea.

Tuzo za E360 za awamu ya 4 za mwaka 2022 zinatarajiwa kufanyika hivi karibuni ambapo bado watu mbalimbali wanaruhusiwa kuendelea kutuma mawasilisho ya kuteuliwa. Uongozi wa tuzo hizi umetangaza kuwatuza washindi kutoka nchi 5 ikiwemo Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda na Burundi pindi uteuzi utakapokamilika.

Picha ya Maelekezo ya Mawasilisho ya Tuzo za E360

Orodha Kamili ya Tuzo za E360 Toleo la 4 Mawasilisho/Kategoria za Uteuzi kwa lugha ya Kingereza.

Picha ya Kategoria ya tuzo za E360
 1. MALE ARTIST OF THE YEAR
 2. MALE MODEL OF THE YEAR
 3. GRAPHIC DESIGNER OF THE YEAR
 4. FEMALE ARTIST OF THE YEAR
 5. FEMALE MODEL OF THE YEAR
 6. INSTAGRAM PERSONALITY OF THE YEAR
 7. EMERGING MALE ARTIST OF THE YEAR
 8. WORSHIP SONG OF THE YEAR
 9. DIFFERENTLY ABLED
 10. STYLIST OF THE YEAR
 11. EMERGING FEMALE ARTIST OF THE YEAR
 12. DANCE SONG OF THE YEAR
 13. BREAKTHROUGH ARTIST OF THE YEAR
 14. PHOTOGRAPHER
 15. YOUNG ENTREPRENEUR OF THE YEAR
 16. COLLABO OF THE YEAR
 17. TALENT TO WATCH
 18. BRAND OF THE YEAR
 19. GROUP OF THE YEAR
 20. SONGWRITER OF THE YEAR
 21. AMAPIANO SONG OF THE YEAR
 22. BEST CHOIR OF THE YEAR
 23. RADIO PRESENTER OF THE YEAR
 24. DRILL SONG OF THE YEAR
 25. AUDIO PRODUCER OF THE YEAR
 26. TV PRESENTER OF THE YEAR
 27. AFROBEAT SONG OF THE YEAR
 28. TV SHOW OF THE YEAR
 29. AFROBEAT ARTIST OF THE YEAR
 30. VIDEO PRODUCER OF THE YEAR
 31. VIDEO VIXEN OF THE YEAR
 32. POET OF THE YEAR
 33. REGGAE ARTIST OF THE YEAR
 34. MAKE UP ARTIST OF THE YEAR
 35. MEDIA PERSONALITY OF THE YEAR
 36. DANCEHALL ARTIST OF THE YEAR
 37. VOCALIST OF THE YEAR
 38. DJ OF THE YEAR
 39. RECORDING LABEL OF THE YEAR
 40. MC OF THE YEAR
 41. YOUTUBER OF THE YEAR
 42. RIFTVALLEY ARTIST OF THE YEAR
 43. HYPEMAN OF THE YEAR
 44. BLOGGER OF THE YEAR
 45. COASTAL ARTIST OF THE YEAR
 46. EMERGING DJ OF THE YEAR
 47. DIGITAL CONTENT CREATOR OF THE YEAR
 48. EASTERN ARTIST OF THE YEAR
 49. MALE DANCER OF THE YEAR
 50. ONLINE STRATEGIST OFTHE YEAR
 51. REGGAE ENTERTAINMENT OF THE YEAR
 52. FEMALE DANCER OF THE YEAR
 53. INFLUENCER OF THE YEAR
 54. REGGAE MC OF THE YEAR
 55. DIASPORA DJ OF THE YEAR
 56. TIKTOKER OF THE YEAR
 57. BENGA NATIONAL SONG OF THE YEAR
 58. DIASPORA ARTIST OF THE YEAR
 59. COMEDIAN OF THE YEAR
 60. CENTRAL ARTIST OF THE YEAR
 61. DANCE CREW OF THE YEAR
 62. MEME LORD OF THE YEAR
 63. EASTERN BENGA ARTIST OF THE YEAR
 64. TZ ARTIST OF THE YEAR
 65. BEST VIDEO OF THE YEAR
 66. EASTERN GOSPEL ARTIST OF THE YEAR
 67. TZ GROUP/CHOIR OF THE YEAR
 68. BEST AUDIO OF THE YEAR
 69. BURUNDI ARTIST/GROUP OF THE YEAR
 70. UG ARTIST OF THE YEAR
 71. REAL ESTATE OF THE YEAR
 72. RWANDA ARTIST/GROUP OF THE YEAR
 73. UG GROUP/CHOIR OF THE YEAR
 74. CLUB OF THE YEAR
 75. CHOREOGRAPHER OF THE YEAR
 76. MALE TIKTOKER OF THE YEAR
 77. SUBMISSIONS STARTS
 78. FEMALE TIKTOKER OF THE YEAR
 79. CROTCHET DESIGNER OF THE YEAR

WASILISHO KUANZIA OCTOBA 20, 2022 HADI TAREHE NOVEMBA 20, 2022

JINSI YA KUWASILISHA

TUMA JINA LA KIKAZI AU BIASHARA, KATEGORIA/KITENGO NA PICHA YAKO KITAALUMA KWA:

e360awards@gmail.com

Au   +254 734 817 362.

e360awards@gmail.com

Au   +254 734 817 362.

Leave a Reply