Hitilafu katika Mtandao wa Whatsapp

Mamilioni ya Watumiaji wa Mtandao wa Whatsapp duniani wamekwama kuitumia huduma hiyo ya kutuma na kupokea meseji kutokana na hitilafu iliyotokea asubuhi ya leo.

Hitilafu WhatsApp

Chanzo cha hitilafu hii hakijatajwa na Kampuni husika na hadi sasa mamilioni ya meseji yamekwama kwenye simu za Watumiaji.

Leave a Reply