Month: October 2022
Watu zaidi ya 132 wamefariki dunia baada ya daraja linalotumiwa na waenda kwa miguu kuvunjika katika jimbo la magharibi la Gujarat nchini India. Kulingana na maafisa wa eneo hilo, wengi wa …
Rais William Ruto aliweka masharti ya kutimizwa na makatibu wapya walioapishwa katika utekelezaji wa majukumu yao. Akiwahutubia wabunge katika Ikulu ya Nairobi,Rais alisisitiza haja ya baraza lake la mawaziri kuzingatia …
Mamilioni ya Watumiaji wa Mtandao wa Whatsapp duniani wamekwama kuitumia huduma hiyo ya kutuma na kupokea meseji kutokana na hitilafu iliyotokea asubuhi ya leo. Chanzo cha hitilafu hii hakijatajwa …
Mwanamume wa Brazili amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuweza kuchomoza macho mbali zaidi. Sidney de Carvalho Mesquita, anayejulikana pia kama Tio Chic, alipata nafasi katika kitabu maarufu …
Afisa mmoja wa polisi katika kituo cha polisi cha Moyale katika kaunti ya Marsabit nchini Kenya awaua wenzake wawili na kuwaumiza wengine wawili kabla ya kujiua. Kwa mujibu wa ripoti …