Month: September 2022
Huduma ya mkopo ya Fuliza imepunguza ada zake za kila siku kwenye mkopo kwa asilimia 40. Siku ya Jumatano huduma ya Safaricom na benki za NCBA na KCB zilitangaza …
Waziri wa zamani wa sheria wa China, Fu Zhenghua, ambaye aliongoza kampeni kadhaa za kupambana na ufisadi, amefungwa jela kwa rushwa. Fu alikiri hatia mnamo Julai kwa kukubali yuan …
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isango, wilayani Rorya mkoani Mara, amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa baada ya kujeruhiwa kwa mapanga na kukatwa mkono wa kushoto na …
Malkia Elizabeth wa pili aliendelea kuombolezwa baada ya kifo chake wiki jana. Mwili wa malkia huyo wa muda mrefu wa Uingereza wiki hii ulilazwa katika eneo la Westminster kwa …
William Ruto ameapishwa rasmi kuwa rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya leo Jumanne Septemba 13,2022 katika uwanja wa Moi Kasarani katika sherehe mbele ya Jaji Mkuu Martha …