Month: August 2022
Kila kaunti nchini katika kaunti 47 imechagua Mwakilishi wao wa wanawake ambao huhudumu katika bunge la kitaifa pamoja na wabunge wengine 290 waliochaguliwa kutoka maeneo bunge yote Kenya. Hii ni orodha ya wawakilishi …
Mgombea Urais kwa tiketi ya Azimio la Umoja Raila Odinga ameongea na vyombo vya habari akiwa katika jumba la KICC jijini Nairobi. Hii ni kwa mara ya kwanza baada ya Mwenyekiti …
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya ,IEBC ,Wafula Chebukati amemtangaza William Samoei Arap Ruto kuwa Rais wa tano wa nchi ya Kenya.Kufuatia uchaguzi uliofanyika Agosti 9,2022. …
001 Mombasa-Mohammed Faki(ODM) 002 Kwale-Isa Juma Boy(ODM) 003 Kilifi-Stewart Madzayo(ODM) 004 Tana River-Danson Mungatana(UDA) 005 Lamu-Joseph Githuk(Jubilee) 006 Taita Taveta-Johnes Mwaruma(ODM) 007 Garissa-Hajji Abdulkadir Haji(Jubilee) 008 Wajir-Abass Sheikh Mohammed …
****001 Mombasa-Uchaguzi Haukufanyika*** 002 Kwale-Fatuma Achani(UDA) 003 Kilifi-Gideon Mung’aro(ODM) 004 Tana River-Dhadho Godhana(ODM) 005 Lamu-Issa Timamy (ANC) 006 Taita Taveta-Andrew Mwadime(Independent) 007 Garissa-Nathif Jama(ODM) 008 Wajir-Ahmed Abdullahi (ODM) 009 …