Month: July 2022
Takriban watu 36 wamefariki na wengine takriban 50 wamelazwa hospitalini magharibi mwa India baada ya kunywa pombe kulingana na polisi. Wote walikuwa wamekunywa pombe haramu inayojulikana kama Moonshine katika …
Maafisa watatu wa usalama nchini Kenya wanaohusishwa na mgombea wa Ugavana wa Kisii, Manson Nyamweya waliaga dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana na pikipiki. Akithibitisha ajali hiyo, Mbunge huyo wa zamani,Manson …
Abiria wa kigeni ambaye Alhamisi alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) akiwa na stika za uchaguzi za IEBC ameachiliwa kutoka kizuizini. Kulingana na Msemaji …
Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa Manushi Wilayani Moshi anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mkubwa pamoja na mkewe kwa …
Mashindano ya kombe la EURO 2021 kwa wanawake yanatarajiwa leo Jumatano (06.07.2022) England. Mechi ya ufunguzi itakuwa ni kati ya wenyeji England, The Lioness, na Austria. Mechi ya ufunguzi inachezwa Jumatano …