Month: June 2022
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao. Kwa ushirikiano wa timu …
A Kenyan artist by the name Eduswagga has a brand new music video ‘Dollar a day.’ This song gives a clear life’s view of a common citizen in Kenya. …
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumanne Juni 21, inatarajiwa kuchapisha notisi ya gazeti la serikali kuhusu sajili ya mwisho ya wapigakura itakayotumiwa wakati wa uchaguzi mkuu ujao. …
NITEKE ni video mpya ya msanii kutokea Kenya, Elpy Monje. Ni video ambayo imetayarishwa na Director Megaflex Pictures kule Dubai. Tazama Video ya wimbo huu hapa.
Uvumi wa mtandaoni ulivuma kote nchini Kenya na Zimbabwe kwamba watu waliokata tamaa walikuwa wakiuza vidole vyao vya miguu ili kupata pesa. Ripoti hiyo ilienea sana hivi kwamba Naibu …