Huu ndiyo Mwavuli mpya wa $1,644 ( Ksh 191767.50)  ambao hauwezi kuzuia maji

Lebo ya kifahari ya Gucci na kampuni ya mavazi ya michezo ya Adidas AG imetangaza kutngeneza na kuuza mwavuli wenye thamani ya Ksh 191767.50  ($1,644) ambao hauwezi kuzuia maji.

 Chapa hizo, hata hivyo, zinadai kuwa bidhaa hiyo haikuundwa ili kulinda dhidi ya mvua.Kitu ambacho kimewakasirisha watu wengi mpaka kushindwa kujizuia kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Mwavuli wa Gucci na Adidas

Tovuti ya Gucci, ambayo hapo awali ilielezea kama mwavuli, baadaye ilibadili maelezo ya mwavuli huo kuwa “mwavuli wa jua” au mwavuli, na ikabainisha kuwa unakusudiwa kulinda dhidi ya jua au kwa matumizi ya mapambo, kama ilivyo kwa Bloomberg.

Miavuli hii imetengenezwa Italia.

[[https://kol.jumia.com/api/click/custom/aac312a5-0baa-4b52-8b4f-4d2009e76cce/0e1c47ed-cc97-3a21-846e-3217fd1ea92a?r=https%3A%2F%2Fwww.jumia.co.ke%2Fflash-sales%2F

Leave a Reply