Month: May 2022
Waandishi wa Habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali Mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika kijiji cha Kiwawa Kata ya Imbasei Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. …
Lebo ya kifahari ya Gucci na kampuni ya mavazi ya michezo ya Adidas AG imetangaza kutngeneza na kuuza mwavuli wenye thamani ya Ksh 191767.50 ($1,644) ambao hauwezi kuzuia maji. Chapa hizo, hata …
Mwanamme mmoja ambaye ni mwalimu wa Madrasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani wa Arusha kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi zaidi ya 20 wa shule ya msingi Mkonoo katika jiji …
Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo amelivunja bunge na serikali ya nchi hiyo na kusema kuwa utaitishwa uchaguzi wa mapema mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu …
Mgombea urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga hatimaye amemteuwa kiongozi wa Narc-Kenya Martha Karua kuwa mgombea mwenza. Akimtaja kwenye hafla iliyofanyika nje ya Jumba …