Rais Wa Zamani wa Kenya, Mwai Kibaki Afariki Dunia

Mwai Kibaki, ambaye aliitawala Kenya kutoka mwaka wa 2003 mpaka 2013, kama Rais Wa Tatu amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 90.


Akitangaza habari hii, Rais Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa Kibaki alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa April 2022.


Pia ametangaza kuwa Kenya inaomboleza aliyekuwa kiongozi shupavu.Hivyo bendera katika majengo yote ya serikali zitapepea nusu mlingoti hadi siku kiongozi huyo atakapozikwa.

One Response

  1. Wilson April 22, 2022

Leave a Reply