Month: April 2022
Tume ya Kitaifa ya Huduma ya Polisi imetangaza kuathirika kwa trafiki katika barabara nne kuu jijini Nairobi, mnamo Ijumaa Aprili 29. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotiwa saini …
Mahakama moja mashariki mwa Rwanda imemhukumu Imam Muislamu kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua nguruwe msikitini. waraka wa mahakama hiyo unasema kwamba Sadate Musengimana alikubali kumuua …
Wafungwa wawili katika gereza la wanawake pekee wamepata ujauzito baada ya kulala na mfungwa aliyebadili jinsia. Mfungwa aliyebadilisha jinsia. Wanawake hao ni miongoni mwa watu 800, wakiwemo wanawake 27 …
Mwai Kibaki, ambaye aliitawala Kenya kutoka mwaka wa 2003 mpaka 2013, kama Rais Wa Tatu amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 90. Akitangaza habari hii, Rais Rais Uhuru …
IEBC ,Independent Electoral and Boundaries Commission has announced 418,192 temporary vacancies to be filled ahead of August 9, 2022. This body is seeking to recruit 47 Deputy County Returning …