Month: January 2022
Watu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Kerio Valley katika Kaunti za Pokot Magharibi,Kenya. Watatu hao, wanawake wawili na mwanamume mmoja walikuwa wakielekea kufariji familia ambayo ilikuwa imepoteza …
Waziri mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo anaendelea na matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa mtoto wa …
Shabiki Mkongwe wa Harambee Stars na AFC Leopards Isaac Juma,58, ameaga dunia kufuatia shambulio la mshambuliaji nyumbani kwake kijijini Ebuyenjeri, Mumias, Kaunti ya Kakamega. Maafisa wanaoshughulikia suala hilo walisema uchunguzi wa awali …
Watu sita wameripotiwa kufariki na kadhaa kujeruhiwa katika msongamano mkubwa wa watu uliotokea nje ya uwanja unachezewa mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon. Kwa mujibu wa …
Mwalimu wa kiume mwenye umri wa miaka 31 ambaye aliandika ujumbe potofu kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook akidai kuwa bosi wa TSC Nancy Macharia amefariki alikamatwa na DCI wikendi hii …