Kumekuwa na rekodi nyingi za dunia za Guinness tangu zamani lakini hivi majuzi watu tofauti wamekuwa wakijaribu kuweka rekodi mpya za aina yake. Baada ya Hilda Effiong Bassey, anayejulikana …
Watu wanne walifariki na wanane bado wamelazwa hospitalini kufuatia kisa kinachoshukiwa kuwa na sumu kwenye chakula katika kaunti ndogo ya Kuria Magharibi, kaunti ya Migori. Kamanda wa polisi wa …
Mwanamume mwenye umri wa miaka 32 amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa jaribio la kuua kufuatia madai ya kumdunga mpenzi wake kisu shingoni. Mwanamme huyo David Njuguna akiwa amefikishwa mbele ya …
Polisi nchini Korea Kusini wanasema wameomba hati ya kukamatwa kwa mwanamke anayetuhumiwa kuwaua watoto wake wawili wachanga na kuweka miili yao kwenye freezer kwa miaka mingi. Afisa wa Polisi …
Hali ya wasiwasi ilitanda kijiji cha Tian katika Kaunti ya Baringo baada ya mwanaume kumuua kwa kumchoma kisu mwalimu wa shule ya sekondari ya chini. Chifu wa lokesheni ya …
Mganga wa kienyeji na mteja wake, mwanamke mwenye umri wa miaka 59, wote wamefariki baada ya kunywa mchanganyiko wa mimea yenye sumu. Kwa mujibu wa taarifa, mkasa ulianza wakati …
Waziri wa Elimu nchini Kenya Ezekiel Machogu awataka walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari kuhakikisha masomo yanafanyika kwa muda wa saa sita pekee. Waziri wa Elimu Ezekiel …
Tamasha la kuendesha baiskeli uchi, mwaka Huu litafanyika Agosti 26. Tamasha hilo la kuendesha baiskeli uchi la Philly katika jimbo la Philadelphia la Marekani utafanyika Agosti 26. Waandalizi wa …
Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya ajali mbaya kutokea kwenye makutano ya Pala-Homa Hills kwenye barabara kuu ya Kendu-Homa Bay mnamo Ijumaa, Mei 5. Basi la shule liliripotiwa kubingiria …
Mwili wa mwanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara mwenye umri wa miaka 20 umegunduliwa ukiwa kwenye kichaka mita chache kutoka katika taasisi hiyo iliyoko Narok. Kulingana na …