Serikali imeahirisha shule zilizopangwa kufunguliwa hadi Jumatatu, Mei 6, 2024. Picha ya Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu. Picha:Hisani Katika taarifa yake, Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu alisema wamepokea habari …
Mwanamke wa Nigeria ameweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutengeneza wigi refu zaidi kutengenezwa kwa mkono. Helen Williams alitengeneza wigi lenye urefu wa hadi mita 351.28 (1,152ft 5”). …
Wakazi wa Iringa nchini Tanzania wamepigwa na butwaa baada ya mwanamume mmoja aliyetambulika kwa jina Goodluck Mgovano mwenye umri wa miaka 33 kudaiwa kumuua mwanawe kwa kamba za viatu …
Kumekuwa na rekodi nyingi za dunia za Guinness tangu zamani lakini hivi majuzi watu tofauti wamekuwa wakijaribu kuweka rekodi mpya za aina yake. Baada ya Hilda Effiong Bassey, anayejulikana …
Watu wanne walifariki na wanane bado wamelazwa hospitalini kufuatia kisa kinachoshukiwa kuwa na sumu kwenye chakula katika kaunti ndogo ya Kuria Magharibi, kaunti ya Migori. Kamanda wa polisi wa …
Mwanamume mwenye umri wa miaka 32 amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa jaribio la kuua kufuatia madai ya kumdunga mpenzi wake kisu shingoni. Mwanamme huyo David Njuguna akiwa amefikishwa mbele ya …
Polisi nchini Korea Kusini wanasema wameomba hati ya kukamatwa kwa mwanamke anayetuhumiwa kuwaua watoto wake wawili wachanga na kuweka miili yao kwenye freezer kwa miaka mingi. Afisa wa Polisi …
Hali ya wasiwasi ilitanda kijiji cha Tian katika Kaunti ya Baringo baada ya mwanaume kumuua kwa kumchoma kisu mwalimu wa shule ya sekondari ya chini. Chifu wa lokesheni ya …
Mganga wa kienyeji na mteja wake, mwanamke mwenye umri wa miaka 59, wote wamefariki baada ya kunywa mchanganyiko wa mimea yenye sumu. Kwa mujibu wa taarifa, mkasa ulianza wakati …
Waziri wa Elimu nchini Kenya Ezekiel Machogu awataka walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari kuhakikisha masomo yanafanyika kwa muda wa saa sita pekee. Waziri wa Elimu Ezekiel …